Matthew 10:34-36

34 a“Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. 35 bKwa maana nimekuja kumfitini “ ‘mtu na babaye,
binti na mamaye,
mkwe na mama mkwe wake;

36 cnao adui za mtu watakuwa
ni wale watu wa nyumbani kwake.’

Copyright information for SwhKC